Toka kwa: Achon Pong Clan (RIC na Chizzen Brain)
Wimbo: Hoi
Albam: Single
Tarehe iliyo toka: 2002/2003
Mtayarishaji: Chizzen Brain
Studio: Green House (Mikindani, Mombasa)

Beti ya kwanza – RIC

Nawakilisha hichi kipaji kwenye mic now/
Nataka puke zangu emotions thro' speakers now/
Kusema kweli hii rap nime foli nayo/
Nafikiria mengine yote niachane nayo/
Inaku touch eh,unai feel eeh skiza jombaa/
Kipaji rap kavirusi nayo/
Ukiwa nayo milele tu una baki nayo/
Uvumbuzi tiba yake ni kipaza dau/
Shika mic nafaniko ukiweza zaa/
Nafanya kweli mola tu kanibariki nayo/
Talanta hii sitoizika kwenye ground now/
Nafanya mambo naweza acha historia nao/
Halo halo niko hapa na Mchizan na/
Pamoja moja tunawakilisha strong nae/
Tume kujaz sasa we rewind ngoma nao/

Kiitikio
Kawaida wetu kuacha watu hoi/(kila mara) x

Vesi ya pili - Chizzen Brain

Panga, panga zangu gani/
Nyumbuka na mirindimo halo unajua naongea kuhusu kitu gani?/
Labda kwako mi nita sound a bit funny/
Lakini hii ni ile inaitwa flani thunder sound/
Toka down underground inataka talent hi fani/
Now shaskia nani/
Niite Brain Chizeni/
Mtoto wa mwana mziki flani wa zamani/
John kapata Kimani halo nani/
Sibabaiki bado mi natengeneza miziki ki/
UK double O fla F L legeNai/
Kawaida yetu kuacha watu hoi kila mara/
Especiallytukishajidunga chuara/
How comes /
We una criticize wakati misamiati ndani ya ala/
Imepangwa juu ukiwacha kati kara/
Eh bwana we RIC/
Waambie kunata na mdundo ki namna hii/
Si kitu rahisi/
Nilipofika far siwezi acha na/
Na fani ndio nimejaliwa na maulana/
Uk double O flani/