Toka kwa: Bcp Wage (Wage)
Nyimbo: Mcheza Kwao
Album: Mcheza Kwao
Producer: Palla Midundo

Tuna uwana sisi kwa sisi,
Wazungu ndio wachonganishi
Stuka Africa, acha ubishi,
Acha fikra za kusema wametuzidi,
Eti kisa tuna wategemea kwa vingi,
Ila tambua kwamba sisi ndio msingi,
Wa haya mambo wanayo gundua hiki kipindi,
Hisabiti za Egypti, wanazitumia Africa kutufilisi
Mafuta yetu wenyewe, yana tukaanga,
Wametuletea siasa, wamevuruga Kinshasa,
Afrika ya sasa, watoto wakiume wana katwa,
Asilimia kubwa ya wamama wanapenda ujana,
Hawa ogopi laana,wana kulana na vijana,
Wadada wanasagana hali mbaya bora jana,
Watoto hawapendi masomo,
Simu za mkono, zimejaa picha za ngono,
Internet, website za pono,
Vijana wanaishiwa nguvu kwa ku sex na mkono,
Viongozi wanafumbwa mdomo kwa kupewa donge nono,
Na mataifa ya mbele, wasipige kelele,
Nani wakufuata nyayo za Mugabe na Nyerere?