Toka kwa: Cafu Da Truth
Wimbo: Mbukinya
EP: Mambo Kavu EP
Tarehe iliyotoka: 07.04.2020
Muunda Midundo, Mix na Mastering: Mambo Makes Music
Studio: Mambo Makes Music Studios

Beti ya kwanza

Kwa streets tumechoka na mapara/
Mmeamsha spirit ya Sankara/

Una try ku humiliate fact na opinion/
Ndio upate dominion mbele ya Idiots/
Ability ya ku distinguish all these morons na morals za Peacock/
Iyo pride waki feed on/
Na bado wanakula izo idioms/
Strike beyond oblivion/
Ka mlidai wahenga wanaeza spit iyo wisdom/
Kukupiga chenga na mabega zinainulia ivo ivo/
Na ka ni sick off usinitick off/
I'm nothing to sleep on, ni kick off/
People, tumechoka na rip off/
Ka mlidhani mko na sicko kwa jiko/
Ngoja muone wakitoka kijiko/
Wangapi wako na Diplomas hadi za Bcom/
Na mna wacheki kwa sitcom/
Kichwa isikue deposit ya ringworms/
Na kuna wale wamefurishwa na egos/
Hamtaki kuona system imetupiga deepthroat/
Hadi mwananchi akibonga hakosi ma veins kwa shingo/
Level ya brainwash ni evil/
Ka jirani hu complain kwake kuna kombamwiko/
Na ye ndio hu protect rais wetu na pistol/
Na wakiendelea kutushika ju ya kuimba wimbo/
Napigia Smallz Lethal/
Namwambia pia me niko offended na na represent the people/
Ni simple, either kuna food kwa riko/
Na mme legalize ombitho/
Muanze ku cure the syndrome/
Anzeni ku invest on something you can build on/
Acheni ku squander billions/
Advertising on televisions na mkikuja kwa ground expenditure ni zero/
Mmegeuza ma Chinese ma hero/
Na mna ignore vile wanatreat our people/
Hatufanyi mambo hivyo na msilaumu the forces/
Hamwalipi ata enough to protect the people/
Nimechoka na nimeboeka indoors/
nikiendelea ivi nitaanza kuuza dildos/
Watu wanamiss jing jong/
Plus I want people dancing to this song/
Hadi muiweke kama ringtone/
Pandemic imehit na nikabump na mtu kwa street mwenye alikua reported na hizo symptoms/
Kila mtu aanze kupanic na hizo risto/
Kadi wakristo na kila religion/
Hope hii itabumpiwa pale club Covid Pastor Nganga akiwa kiongozi/
Alafu Sunday atu lead kwa worship/
Najua ideas zangu ni toxic/
But watu wanadai kitu wanaeza believe on/
But ni corruption mna deal on/
Cheki ma locust, narrow bee flies Baringo/
Mawe zikiboiliwa majimbo/
Wanasiasa mnafaa mafimbo/
Arms zikiwa zimeshikwa akimbo/
Middle finger ka ni throne mnadai ku sit on/
Kwa urinal na piss on/
Figures za Ipsos/
Hatuna balls hadi scrotum imekua na wrinkles/
Bahati tuko na simu pesa ya MCSK haiwezi risk on/
Ju pesa nili confirm Mpesa haitoshi rent na wino…?