Toka kwa: D14
Nyimbo: Toka Zama(Rap Ni..)
Kanda Mseto: The Kulture Mixtape
Producer: Dr. Louis
Tarehe iliyo toka: 17.01.2021
D14 Mobbfather: VERSE; 2--(D14)

Kabla hujaanza rap jipange/
Usitambe, mguu sawa kiafande/
Bila Dj Kool Herc na Bambataa/
Sijui mngekuwa nani, fundi mwashi au muuza mkaa/
Toka kipindi tuna shine na logo/
Kabla hawa ma emcee dress code kuwa modo/
Kabla ya nyodo/
Hawajui rap ni global/
Rap si shobo/
Kabla ya Hasheem kuwa Dogo/
Toka kitambo casseti na album,
Wala sio hizi zama za Twitter na Instagram/
Fubu na Phatfarm/
Mandugu wa zama dam/
Binadamu wa Damdam/
New school hawawezi fahamu yeah/
NWA na Da Lench Mob/
Kabla ya Outlawz na Whoa ya Black Rob/
Rap ilikuwepo nab bado tu iko raw/
Na bado inaendelea, we keep it hard to the core/
Naleta adventure la Gecko/
Hii rap ilikuwepo kabla ya commercial/
Kabla ya Ice Cube kuzamia South Central/
Hii ni kabla ya Robaa na Collo kuwa Klepto/