Toka kwa: Doobeez Doobeez (Abbas Kubaff)
Nyimbo: Avoid those people
Album: Victims of Madness
Producer: Beats Afriq
Me hu roll incognito,
Jicho nyanya , mfuko nzito,
Madigaga za mbao, juu mi hu na avoid some people,
Unafaa kujichunga wadingo,
Na ma cargo huaga za imbo,
Makarao watapiga na pingo,
Na Doobez na ma chinku,
Nairobbery kudiambo,
Kwa traffic tinga ma window,
Kula rada tafuna ridho,
Ama utameza ma ridhe,
Promoter junky mwenye show,
Make sure amekudunga ka dipo,
Ati concert bila malipo
Aaah aaah na avoid hiyo risto,
Una faa ku avoid those people,
Watakuekea mchele kwa disco,
Watakuingia mbosho, ukisha chemsha unafungwa chipo,
Yule boi hua snitch, naskia ye hundonyo info,
Anajuana na ma 5, 0 ndio kwa maana yee hutembeanga na pisto,
Oh oh leo staki ma Tembo,
Niko maji kushinda Migingo,
Itabidi nianze ku detox,
Yaani kupunguza stingo,
Waba imenifika shingo,
Ndio kwa maana niko indoors,
Natembea mtaani niki tip toe,
Shhhh, avoid those people!