Jina La Kazi: Duppy Beatz -Gusa Link Usome Historia Yake
Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: February 2024 tunamshuruku Duppy Beatz kwa mchango wake kwenye game la Hip Hop kama producer.
Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.
Playlist Ya Duppy Beatz
1. Izzo Bizness – Tummoghele
2. Waddy B ft. One Six – Tena
3. Mullah The Matrix - Dream Big
4. Izzo Biness ft. Sugu, Saraphina - Ume Change
5. BabaBee ft. Dupyy Beatz, Obyfighter Kato – Shombo
6. Juelz Macha - So Fresh
7. The Fighter Music – Wamalize
8. Izzo Bizness ft. Myra - Mr. X Mas
9. Izzo Bizness - Mzee Baba
10. Sam Mapesa ft. Jay Gaza ‐ Champion
Bonus Track
Young Tuso - Am back Freestyle Vol.2