Msanii: Ghost The Living
Wimbo: Hatari Isiyojulikana
Albam: Single
Tarehe: 09.10.2020
Mdundo: Ventalon
Studio: Neptone Records

Beti

Au mlitaka nisifanye nivunge nisande Kabisa /
Kwa kua mnanijua basi niwaache mkinitisha /
Si ndiyo au mkataka nisijifunze niwe mbovu /
Nipwaye juu Ya Beat nikipita niwe mchovu /
Kwanini watu wengi mko na roho za Korosho/
Badala Ya Kuniinua mnanitupa kwa Korongo/
Kweli mikaa mitano yani still madharau/
Hamuishiwi maneno ya shombo utafikiri mother house/
Wengine Ghost Pumba hana anacho weza /
Sasa kama watu wazima mnafikaje napocheza /
Au ndo tusema mnapenda na kuchukia /
Ndo mana sitoboi kila nikileta mnasusia/
Sawa ila karne hi mbona nitawanyosha /
Ma Mc hawavutii Mfano Uwoya ananyonyesha /
Na Uki komesha nakomesha /
Ukinionyesha Penye kidondo sina utani natonesha /
Immortal techniques Ghost amani Ya Nchi /
Wengi Wenu Fake siku hizi hatufanani siwachi/
Hatufanani Kimaandishi talanta Wagiriki /
Mkiambiwa Bado sana mnawaka hamuambiliki/
Hata hivo Me sipimwi na watoto wasio ujuzi /
Wasio kubali mother fucker kwamba Ghost sio Mbuzi /
Game Ya Kinoko pia Pigo za Kipuuzi /
Na hi Game Ya Koboko haya Ndiyo Mapinduzi /
Naona mnajifariji mkizuga situpo Empty /
Wakati tafu sana na Misuko Suko heavy/
Gangster sibadili Changamoto Simple /
Sina Wivu mi na Maadili Mpaka Monto Livo /
Wanadai najikweza navo chana hamna kitu /
Yani Siko relevant tena drama na mavitu /
Wana niogopa nawajua kwa majina /
Ndivo mbwa wangu kuwafua ni Lazima/
Mfano huyo boya hanitaki kwenye Challenge/
Hata nikishinda ana wa trust Wale wale /
Now yuko Frustrated aki mclash Babu Tale /
Huyu Pimbi ka Malaya inampa tabu hi Talent /
Na Mchocheeni anyenyue mguu Kunidiss /
Naona hamumpendi mvikine Uhuni Kisnitch /
Ndo mtajua Kuwa siti sio Safe /
Na Huyo pimbi wenu alicho nizidi ni Ndevu /
Na Unakenua nini hii haichi Mtu salama /
Kesho kutwa asubuhi mta sikia Kuna mtu kahama /
Kuna Mtu katutoka baada Ya Hasira za Michano/
Mnajivika Uhandaki mnratibu wa kila mipango /
Sipewi Front Page huu Ubora unanicost/
Ingawa wanakunja Usoni ila moyoni bora Ghost/
Mbona Force, ona source /
Kila Ngoma inavokuja wana shtuka Mbona mimoshi/
Realize unapojudg hii Kitu haiko simple /
Huyu mtu Bado vag japo kuwa haipo Title/
Haipo Cycle, nawazungusha Kimizimu/
Huwezi Nikuta na hizi Team /
Na Sitimbi pia ni Thug Kama Pac/
Mfukoni na Vitu Vyangu osi kwamba Bado Wakorofi /
Pia boss usije Stuka wale bado Wako soft /
Kizazi cha kina Figo kama Hukazi Hupati namba/
Mugonile Ndaga Fijo ndo Mana Siachi Kutamba/
Tag na Mark hapa/
Na kazi Mark Answer /
Ita Mass niko wazi na hi kazi Ya Kinasa /
Nawapeleka Msoba na mastyle kama mia/
Baba Style naka mia /
Kunishinda Vichekesho wanastahili Miaka mia/
Soo ni Deep kama Ujuzi Napol/
Hesabu Mingi Kama Mjuzi Davoo /
Mjuzii Nagooo..nastyle Heshima ya Kweli /
Mwili mzima Ghost nastahili heshima Ya Cell /
Mama anita mama hakika Mama Fei/
Mama hakika Dear Mama Nitakuimbia Makaveli /
Na sisongi kinyonge me nasonga na Mavumba /
Uende wapi dogo tunasonga na Wakubwa /
Cheza mbali nami sio kinyonge nitakushasha/
Wasanii wanajigawa itakua Wote number shufwa/
Ni kama maporomoko hizi Rhymes navo tupa/
No facts no Flow shika Rhymes navokupa /
Nikiryhmes kama Tupa /
Nikipenda nitakupiga Big times Mwalukunga/
Nawadunda, Vitenesi mnafumuka /
Murder case navoruka/
Hawakeshi wanajuta/
Sioni Jipya bado Fake Hawana Future /
So organize Your Mind Kupata Madini HAYA/
Usije nikosea ukidhani na Mimi SAWA/
Risasi namimi naga/
Naaamini Power....nicheke na watoto kwa sasa Ya nini BABA/