Toka kwa: Kitu Sewer x Maovete
Wimbo: Kun Faya Kun
Albam: KiswaHealing
Tarehe iliyotoka: 20.01.2021
Mtayarishaji: Gitonga Mukira
Mtayarishaji Mtendaji: I. M. Brima Rainman
Studio: Siepna Inc

Kiitikio

Yo, nilienda far sana na mi (Mbali sanaaaa X3)/
Nastahili kuji pay a visit/
Enda mbali sana na mi/
Itabidi nimejiita meeting/

Beti Ya Kwanza – Kitu Sewer

Nilienda far na mi nikapoteza network ya God/
Kumbe anataka tuwe sote mind, body and soul/
Hakuna shortcut ni two way ndani ya hii baro/
Itabidi upay attention ata kama si doo/
Nilidhani ni hallucination ni kama na chizi jo/
Kumbe ni echo za mind yangu zina bounnce kwa wall/
Kuna mse ananicheki kumbe ni mi kwa kioo/
Siri ni yetu, watatu ni wa kupoison sinia/
Hakuna kitu valuable kaa kimya kwa hii dunia/
Break worth of silence na zile kelele na make/
Sacrifice kila kitu hio ni kama ntamake/
Nitokee side hio ingine ya iyo shimo unless/
Staki hivyo kuna ma demon lazima ntaface/
Hakuna elimu hukuja bila ya kufanya mistakes/
Nikaamua nikijipata ntaji GPRS/
Ndio nijipate kabla uoovu za dunia zini arrest/

Kiitikio

Kun Faya Kun x3
Faya faya faya Kun
Kun Faya Kun x3
Faya faya faya Kun

Beti Ya Pili - Brima

Niskize vizuri mi ni brain kwa akili yako/
Mi ndio memory za utotoni mwako/
Cheki life yako ina revolve around nini/
Know thy self, weh jijue ji amini/
Hauhitaji psychologist au kuseek medical advise/
Devise plan ya personal fulfilment na uiactualize/
Parallel universe haina limitations it’s all in the mind/
Furaha, Amani, Upendo...manifest self-image divine/

Kiitikio

Nilienda far sana na mi (Mali sanaaaa X3)
Nastahili kuji pay a visit

Beti Ya Tatu – Kitu Sewer

Uski hu Phychologist amenifanyisha PE/
Ati niangalie sura yangu kwa mkojo nime pee/
Fraction ya me si me/
Teacher aliuliza what do you wanna be?/
Kukua mso nikagundua zote/
Doctor na lawyer na scientist ni ma uwanna be/
Sio bure waliniseperate na mi/
Sa najitafuta…walinisho me ako six feet deep/
Wakamreplace na ma dawa na steam/
As a means ya kuget back hiyo self-esteem/
Wakanisho mi wa ukweli ni myth na ni superstition/
Wakasho ma siz wa mi wableach/
Na wapige surgery za hips na tits/
Na mabro wameze tembe za Gym/

Kiitikio

Kun Faya Kun x3
Faya faya faya Kun
Kun Faya Kun x3
Faya faya faya Kun

Nilienda far sana na mi (Mbali sanaaaa X3)
Nastahili kuji pay a visit
Enda mbali sana na mi (Mbali sanaaaa X3)
Itabidi nimejiita meeting
(Mbali sanaaaa X2)