Kuhusu Micshariki

Micshariki ni jukwaa linalowapatia wasanii wa Hip Hop waliopo handakini na wanao jitegemea kutoka nchi za Africa Mashariki fursa ya kuzidi kuonekana.
Tunawapa fursa ma Emcee kwa kuchambua miradi yao ikiwemo Ep, mixtape (Kanda mseto) na albamu. Pia tunaangaza mambo chanya ya wana Hip Hop kama vile ujasiriamali na sanaa.
Hivyo basi tunakuwezesha wewe kupata taarifa kwa haraka kuhusu mziki kutoka kwa wasanii wa Hip Hop wanaojitegemea.
Kwa matangazo/kuweka mziki au kwa uchambuzi ma mradi kwenye ukurasa wetu wasiliana nasi kupitia kwa fomu iliyoko hapo chini.
Kinachohitajika: Jina la msanii, Anatokea wapi, Link ya mradi (Iwe ni YouTube, SoundCloud, Bandcamp, Audiomack, Boomplay, Deezer, Spotify nk), taarifa fupi kuhusu mradi, picha au mchoro utakaotumika kwa taarifa, mitandao yako ya kijamii.