Jina La Kazi: Black/Blaq Beats - Gusa Link Usome Historia Yake
Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: July 2024 tunamshuruku Black Beats/Blaq Beats mchango wake.
Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.
Jina La Kazi: Black Beats/Blaq Beats (Black In This!)
Studio/Label: 41 Records
Wasanii Waliofanya Kazi Nae: Chaba, Nikki Mbishi, Ghetto Ambassador, One The Incredible, Mansu Li, Zaiid, Wakazi, Mex Cortez, Fresh Like Uhhhh(Pablo), Mr. Blue, G-Nako, AY, Fid Q, Cado Kitengo, Blvck Queen, Eli Hekima Davan Trappe, Meddy Botion, Hard Mad, Chindo Man, JCB Watengwa, Fredrick Mulla, Kalapina, Meddy Botion
Miradi Ya Wasanii: Chaba 009 – ‘Tanzanite Milele’, Davan Trappe – ‘Lyrical Testimony’, Ghetto Ambassador – ‘Hisia Za Burudani’, Nikki Mbishi – ‘Sam Magoli’, Wakazi - ‘The Massacre’, Fety Jen – ‘Lyricist Lounge’, Mex Cortez – ‘Monsoon Winds’, ‘Afro Vacations’
Aina Ya Midundo: Boombap, Afro Beats, All Types Of Beats
Mawasiliano/Mitandao Ya Kijamii: @blackbeatsinthis
Black Beats/Blaq Beats
Baadhi Ya Kazi Zake: Playlist Part 1
1. Chaba 009 ft. Nikki Mbishi, Pinda Bway - Washa Washa
2. FreshLikeUhhh, Mex Cortez, KBC, KK, Emam Abbas - Expendables Cypher
3. Mr Blue ft. Allionare - Watakubali
4. Nikki Mbishi X Wakazi – Priceless
5. Davan Trappe ft. Nikki Mbishi, Elli Hekima – Massacre
6. Mex Cortez - Barbender 7
7. Nikki Mbishi – Price Up
8. Ghetto Ambassador ft. Baridi Cold – Aste Aste
9. Mex Cortez - Barbender 5
10. Chaba 009 ft. J Deal – Mwanangu
11. Fid Q – Sumu
12. Mex Cortez - Barbender 6
Bonus Track
FreshLikeUhhh - Dear Brian (Khaligraph Jones Diss)