Jina La Kazi: Black/Blaq Beats - Gusa Link Usome Historia Yake
Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: July 2024 tunamshuruku Black Beats/Blaq Beats mchango wake.
Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.
Jina La Kazi: Black Beats/Blaq Beats (Black In This!)
Studio/Label: 41 Records
Wasanii Waliofanya Kazi Nae: Chaba, Nikki Mbishi, Ghetto Ambassador, One The Incredible, Mansu Li, Zaiid, Wakazi, Mex Cortez, Fresh Like Uhhhh(Pablo), Mr. Blue, G-Nako, AY, Fid Q, Cado Kitengo, Blvck Queen, Eli Hekima Davan Trappe, Meddy Botion, Hard Mad, Chindo Man, JCB Watengwa, Fredrick Mulla, Kalapina, Meddy Botion
Miradi Ya Wasanii: Chaba 009 – ‘Tanzanite Milele’, Davan Trappe – ‘Lyrical Testimony’, Ghetto Ambassador – ‘Hisia Za Burudani’, Nikki Mbishi – ‘Sam Magoli’, Wakazi - ‘The Massacre’, Fety Jen – ‘Lyricist Lounge’, Mex Cortez – ‘Monsoon Winds’, ‘Afro Vacations’
Aina Ya Midundo: Boombap, Afro Beats, All Types Of Beats
Mawasiliano/Mitandao Ya Kijamii: @blackbeatsinthis

Black Beats/Blaq Beats
Baadhi Ya Kazi Zake: Playlist Part 2
1. Davan Trappe ft. Hardmad - Iko Wazi
2. Nikki Mbishi – Straight Outta Gamboshi
3. Mex Cortez – Manimendra
4. Wakazi – Warrior
5. Fid Q ft. Mex Cortez, Lord Eyez – Simba
6. Nikki Mbishi ft. Becka Title – Hakijaeleweka
7. Wakazi - The Legacy
8. Nikki Mbishi ft. Belle 9 - Buni Mbinu
9. Mex Cortez ft. One The Incredible, Nikki Mbishi & Elli Hekima - Mi Noma
10. Mex Cortez x FreshlikeUhhh - Disturb The Peace
11. Wakazi - Twaha Kiduku
12. Blvck Queen ft. Mex Cortez - Master Pieces
Bonus Track
Medy Botion, Fredrick Mulla, Mex Cortez, FreshLikeUhhh – Hip Hop 255