Wasifu wa Black Ninja

Jina La Kazi: Black Ninja (Gusa Link Usome Mahojiano Yetu Ambayo Tulifanya Nae Hapo Awali)

Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: August 2023 tunamshuruku Black Ninja mchango wake. 🇹🇿

Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.

1. Lugombo MaKaNTa - Gangsta

2. Black Ninja, Ghetto Ambassodor - Wanayama

3. Black Ninja ft. Cado Kitengo - Kitengoni

4. Frege X One the Incredible X Bad Ngundo X Mex Cortez X Cado Kitengo - Mara Moja Kwa Mwaka

5. Stereo Singa Singa - Nafanya Kitu Inakuwa

6. Black Ninja ft. Saru Clan - Editoration

7. Ghetto StarZ - Karibu Ghetto

8. Black Ninja ft. TK Nendeze - Can You Feel Me

9. Veryl Mkali Wao x TK Nendeze - This Game

10. Black Ninja ft. Young General - Still King

Bonus Track

P Mawenge - Mawenge Freestyle