Jina La Kazi: Buff G - Gusa Link Usome Historia Yake
Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: June 2024 tunamshuruku Buff G/Buff Beats mchango wake.
Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.
Mfahamu Mtayarishaji Wako Hip Hop
Jina La Kazi: Buff G/Buff Beats
Studio/Label: Nawiri Records
Wasanii Waliofanya Kazi Nae: Kevin Mamba, Jomba Uncaly, Mundu Wa Musyi, Sela Ninja, Ohms Law Montana, Dez32, El Loui, Marie, Flamez, Mzee Kobe, Madrizlah, Knamics, Elijah Moz,
Miradi Ya Wasanii: Ohms Law – ‘Lucky Summer LP’, Jomba Uncally – ‘Outta Ghettoh Album’, Mundu wa Muysi – ‘Mambo Yetu Album’
Aina Ya Midundo: Boombap
Mawasiliano/Mitandao Ya Kijamii: @nawirirecords

Playlist Ya Buff G/Buff Beats
1. Buff G ft. John Pombe Magufuli – Politics
2. Jomba Uncaly ft. Buff-G & Junior Uncaly – Ghetto
3. El Louie X Buff G - BLvCK
4. Knamics x Buff G - Mteja
5. Buff G & EL Louie - Soo
6. Smallz Lethal - Mwisho Wa Mwezi
7. Ananda x Buff G - Mama Africa
8. Buff G – Jipange
9. Buff G - Life's Little Things
10. Buff G ft. Hisia Kali - Happy
Bonus Track
Feestyle Friday’s Episode 013 (Flamez) - The Truth