Jina La Kazi: Dr. Luis - Gusa Link Usome Historia Yake
Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: April 2023 tunamshuruku Dr. Luis mchango wake.
Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.

Playlist Ya Dr. Luis
1. Tejo Clan – Handasi
2. D14 ft. Toxic Man - Wrong Turn
3. Adam Shule Kongwe - Yuko Ndani
4. Emgeez Gang ft. Boox KcK, Cmpoo & Fred Lou – Changamkaga
5. Ollachuga ft. Ommy Jah - Sio Rahisi
6. Fedoo - Nicheki
7. Boox KcK ft. Vvolf - It Is Math
8. Pirates Gang ft. Machalii Watundu - Hapo Ulipo Remix
9. KCK Supremacy - Hivi Hivi
10. Slaiyank - Niamini Mimi
Bonus Track
Eyoo Joe (JoeMic) - The Beat Industry