Hii Beat Ni X

Jina La Kazi: Hii Beat Ni X -Gusa Link Usome Historia Yake

Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop:  December 2023 tunamshuruku Hii Beat Ni X kwa mchango wake kwenye game la Hip Hop kama producer.

Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.

Playlist Ya NJE Pro

1. King Kaka/Rabbit ft. Oddinary - Jam Na Kam

2. Jaykah Mtegwa - Conjestina

3. V-Vid Ideaz - Breed

4. Jaykah Mtengwa - Karibu Kilifi

5. . MtuReal ft. Left Arm x Annie Davies - Legacy

6. Cafu Da Truth - Golden State

7. Tristan 66 - Change

8. Cinta Nyambura - Ki40ty Kibare

9. Matrix x Pachino - Gwara

10. X.O. – The Hustlemayn

Bonus Track

T3jjah - T3jjah El Jefe