HR The Messenger

Jina La Kazi: HR The Messenger (The Apex Preditor) -Gusa Link Usome Historia Yake

Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: October 2023 tunamshuruku HR The Messenger mchango wake. 🇰🇪

Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.

Playlist Ya HR The Messenger

1. Fikrah Teule ft. HR The Messenger, Shahidi Xcalibur & Trabolee – Nami Napigana

2. HR The Messenger & Sewersydaa Mkadinali – Degree

3. Beasthood ft. HR the Messenger - Hustler

4. Katapilla ft. Skillo – Mwanaume Ni Bidii

5. Lord Arnold ft. HR The Messenger – Levels

6. HR The Messenger ft. Markus Is Ill & X-ray King - Waridi

7. HR The Messenger ft. Scar Mkadinali – Gwantana

8. HR The Messenger – Dreams

9. Jakk Quill ft. HR The Messenger - I Been

10. Fikra Teule ft. Monski, HR The Messenger – All Day

Bonus Track

HR The Messenger – Crossroads