Jina La Kazi: NJE Pro (NJE Producer/Msanii) -Gusa Link Usome Historia Yake
Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: November 2023 tunamshuruku NJE Pro kwa mchango wake kwenye game la Hip Hop kama producer na msanii vile vile
Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.
Playlist Ya NJE Pro
1. Kaa La Moto – Sawa
2. Kamaa (Ukoo Flani MauMau) – Broken Dreams
3. Nje Pro- Warrior
4. N J E Pro- Game Ngumu
5. Ufuoni Family ft. Ukoo Flani, Nje, Mzedy, Nguchi P & Lavosti – Mtaani
6. N J E Pro X Nguchi P Ft. Sokoro – Love
7. Ukoo Flani – Maskani
8. Chizzen Brain, Alai K,Cannibal, Sharama, Cannibal, Pre, Labalaa, Nje Pro, Nguchi P – Mabalozi
9. A.N.G.A.Z.E.T.U - Dunia Inatulea
10. Fikrah Teule - Ujumbe Utafika
Bonus Track
Nje Pro ft. Leon & Mamuu – Kule Tumetoka