Jina La Kazi: Ommu Pah/ Ommy Daddy - Gusa Link Usome Historia Yake
Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: March 2023 tunamshuruku Ommy Pah/ Ommy Daddy mchango wake.
Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.

Playlist Ya Ommy Pah
1. Soggy Doggy ft. Shiva & Map Star, Geoff Master - Wamechana Mkeka
2. Chidi Beenz - Don't Cry
3. Mabeste X Deddy – Underestimate
4. Mkeka Wakudesa - Walitaka Niwe
5. Ndalusa - Ballon d'or One
6. Moh Rhymes ft. Mkaksi Pepe - Nini Shida?
7. TK Nendeze - A Letter To A Son And Daughter
8. Bou-killer – Kinywa
9. Mv09 - Tatizo Cypher
10. Wakazi - Unanimaliza
Bonus Track
Cado Kitengo - Midamu Session 3