Jina La Kazi: Tenth Wonder (aka Mr.Boombap, Ndio Maajabu Yenyewe)
Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop: September 2023 tunamshuruku Tenth Wonder mchango wake. 🇹🇿
Soma wasifu wake na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zake. Tunampa cheti kumuonesha tunathamini mchango wake kwenye Utamaduni wa Hip Hop.
Playlist Ya Tenth Wonder
1. Christom Staff – Nakuja Kwenu
2. Adam Shule Kongwe ft Nikki Mbishi – Peligrosos
3. Ghost The Living – Koboko
4. Trump Mc Ft. Nikki Mbishi - Mbwembwe Za Fundi
5. Ponera na Oddu El Shabazzy – Pogbars
6. BlackNation ft Oddu,Tenzinolojia, Ponera, Kevoo - Hisia
7. 10th Wonder x Ponera - Mkemia Pt. 1
8. Scapla Chafyu - Chafyu Bars
9. Miracle Noma ft. Adam Shule Kongwe - Mamluki
10. Christom Staff ft. One Six - No Fair
Bonus Track
BBoy Blackfire – Mzuka