Nyimbo: Burefresh Cypher Volume one
Wasanii: Bujanlau ft DDC (Kanja wizle, Adam Shule Kongwe and Miracle Noma

Usipo jituma mwisho ni msoto/
Ukipenda bia bila kazi hio mwisho ni gongo/
Si ogopi ngoma, naenda peku peku Mrisho Mpoto/
Kila moja atatimiza man, kifo ni ndoto/
Miracle utao lini man, bado niko kidogo/
Bado nadumisha utamadumi man, hip hop ni nyoko/
Nina mashine kubwa, bishoo hiyo ni ndogo/
Hata bichi usinipe papa, hiyo ni shombo/
Niko geto, natoka mosh, hiyo kibosho/
Line zako zinachekesha man hiyo kibonzo/
Huwezi nikamata kwenye music mbiyo ni ndogo/
Kumsujudia presenter hiyo ni shobo/
Sifanyi Trap, wapeni Weusi hiyo mikono/
Naandika kama Shaban Robert, kama sio Shigongo/
Niazime skio kidogo/
Nikupe vitu hupati hata kwenye redio za kibongo/
Freestlye za Young Lunya mbona zipo kichoko/
Hawana vina, wanachana kama hizo kitoto/
Na autotune wanazoekewa kwa maskio ni Mbosso/
Wana rap kama vijoso, mnasema mme wa inspire wakati hio ni uwongo/
Hip Hop mtaani nauza tena sio kidogo/
Sibadiliki maintsteam wala sioni soko/
Mamba na Kiboko, Mamba ndio Kiboko/
Kama umenisoma nina maaninisha mamba nidio Kiboko/
Na kila ngoma akiwa Noma na hiyo ni Moto!