Wimbo: Usiku
Toka kwa: Q-Centoh
Tarehe iliyotoka: 07/11/2023
Mtayarishaji, Mixing & Mastering: John Basil
Studio: Jawabu Studios

Q Centoh

Usiku ndo passi alinyemelea Bae wa mshirika/
Usiku ndo waganga na wachawi uhitajika/
Usiku ndo after work maze si upumzika/
Usiku usipite makaburini marehemu watakupiga/
Apo ndo dad urealize mtoi wake stude ana mimiba/
Usiku sometimes ukidoz unaota ujinga/
Usiku ukisense danger, unakua sprinter/
Mchana unachocha unajua kufight usiku patana na Ninja/
Usiku kuna darkness uonekani ukipita/
Kunakwaga stars mwezi sometimes giza kabisa/
Ndo githaa pia fiti ya kubrowse Facebook Na Twitter/
Pia dame anezadeliver na atupe mtoi kwa pipa/

Usiku kuna mambo inafanya niprefae mchana/
Wale wangwana daytime usiku ni wanakuwaga ni wanyama/
Usiku ndo time ya supper usipochungq unalishwa pamba/
Usiku ata magenuis usingizi ianwafanya danda/
Very obvious mawatchii ndo mabazuu wa usiku/
Ndo time ata maceleb wanezapita na chapo mwitu/
Ni time family inaexpect urudi na kakitu/
Kumbe ulipita machwom bana madingo wakakutibu/

Mosquito’s zinawika zinataka zikupatie Malaria/
Sleeping sickness chezea damu utanasa Anemia/
Mungu ni Mkubwa mchana Kenya usiku America/
Ndo time ukifika off job wife amepika/
Usiku niko lodging am sorry nilihepa na bibi yako/
Ndo githaa utakamiwa Na DCI after wamekusummon/
Ndo time utapata landlord amekutolea vitu zako/
Ndo time wasee uchezeana bana in the name of couple/
Nikikosa cash apo ndo mi uriverse M-PESA/
Before weekend Cheki Friday considering kesha/
Njaro Za mtoi akikam usiku si Paro anateta/
Nilichora mchana ndo reason usiku nasepa/