Toka kwa: Rasta Michael
Wimbo: Fanikisha
Albam: Nje Ya Dunia
Tarehe iliyo toka: 13.08.2021
Mtayarishaji, Mixing & Mastering: Tinnie Cousin
Studio: Cosmic Records

Beti Ya Kwanza

Haikua imara alifuata masafara akaikosa yake dira/
Ndio mwazo wa kudorora alivyo kosa taswira/
Macho yaka angalia dola alivyo fungwa na ajira/
Nina vyo relax wana panic chanzo wame jidhira/
Ukweli ni mimi propaganda tupa chini/
Ukiweza kujiamini wata tambua wewe ni nani/
Nimezaliwa mjini shamba napata mani/
Sipangagi foleni wana panga nikiwa kazini/
Nimetokea magetoni naongelewa maofisini/
Huniita Rasta man sio mtumishi wa pande fulani/
Anachoma ubani anakaza nikichoma jani/
Nimehitimu mtaani single nakalisha army/
Ah! tunaishi nao ila hutufanani/
Husema wow! amani nikiwa nyumbani/
Mazingira serenity meditation ndio madini/
Ninachojali ni unity naenda tofauti na udini/
Nishakula yamini ndani ya game/

Kiitikio

Time Maisha Don't talk about people
Fanikisha/ (X2)

Beti Ya Pili

Nakamilisha nilicho anzisha muda hautoshi/
Aliye niangusha napisha nazidi jikoki/
Kwake nisha jiweka I see clear/
Jaribu naliweka kando na ongeza gear/
Neno kwangu ndio mpango my life is my idea/

Maarifa ufungua milango ya fursa kuingia/
Akili taswira kubwa ndio imefanya naumia/
Nilisikia ya Budha ya kafanya kujitambua/
Nimesikia ya Christ ya nafanya natembea/
So siwezi paste na fanya nina chojua/
Utamu ndani ya shairi moyo nishaufungua/
Hakianani sito gairi tofauti ni hizo hatua/
Haunileweshi umahiri nafanya na chumbua/
Sinasifa ya jangili na jenga siwezi bomoa/
Sirudii kosa mara mbili naingiza ni kipoteza/
Namjali anaye jijali naongea ukisikiliza/ X2

Easy man I’m not a crazy I do ma thing.
Effortless movement.