Micshariki Africa tunatimiza mwaka mmoja ifikapo tarehe 18.10.2021.
Kusheherekea hili tumeandaa vitu vipya kwa ajili yenu kama vile kuanzisha Micshariki Mashairi kwa ajili ya wachanaji sanjari na kufanya kazi na mwandhishi wa maswala ya Hip Hop toka nchini Kenya, Musiq Jared.
Mkae mkao wa kupokea!