Toka kwa: Trapper Thee Rapper
Wimbo: 404
Albam: Single
Tarehe iliyotoka: 02.11.2021
Muunda Mdundo: Artic Studios (PDP)
Mtayarishaji, Mixing & Mastering: Artic Studios (PDP)
Studio: Artic Studios
Kiitikio
ayayayaya!!!
404, devil akisaka hizi nyoyo tunamwambia No No
404, jambazi akifika kwa keja si Rada ni blow blow
404,mambleina wakizidi si meno tunawaletea goro
404, watajua ni 4 - 0 - 4, four zero four
Beti Ya Kwanza
Mono, behavior ni moja Ile chafu ebu badili photo
Sonko, si wote wanapata maganji na riba jamo
Kanairo, usikose kawera na bado unahate side hustle
Lotto, ukitaka kujua, kushinda inakunga 404
Uko kwa ghetto
Usikose maskills za kupita hizi chuom chuom
Uko kwa chuo
Usikose kujenga hizi network ni networth
Uko kwa meko
Mbona usipike ata ya kesho
Uko na network
Usibrowse life kushtukia ni 404
Friends and the family
Imma build from the scratch not forgetting Imma bag all this
Haters and enemies
Not forgetting to build some of yall who will make me win
Hii life si ya bitterness
Ukikosa utapata be patient ebu worry less
Kimziki ni business
Na bado na meditate ndio ni free stress
Kiitikio
404, devil akisaka hizi nyoyo tunamwambia No No
404, jambazi akifika kwa keja si Rada ni blow blow
404,mambleina wakizidi si meno tunawaletea goro
404, watajua ni 4 - 0 - 4, four zero four
Beti Ya Pili
Fofofo
Usilalishe wera ni wera ata kubeba ma kokoto
Kisogoroto
Keroma ni ngumu ukimix mapera na mbosho
Maporomoko
Inaanza ukidharau wahenga bana ata ka ni mashosho
MA connection
Ni fiti ukishikilia wazito wazii si wale WA kufloss
Kudharau maskini ni gross
Roho si Safi na toss
But mwili ni complete na toes
Stand firm to your roles
Binadamu ni umoja na umoja itoke within
Yaani innercore
Si kila time utu ni doo
Utu ni what?
Ni kujenga connections
si 404
I think nimesema alot
Mpaka na feel na float
maneno zote nimeexhaust
nafeel light kama loaf
That's a good feeling I know
Anytime uko pressed
Anytime uko stressed
Speak the you ata kama haimake sense
Anytime uko blessed
Anytime niko messed
Play like you msaada usifence
Kiitikio
404, devil akisaka hizi nyoyo tunamwambia No No
404, jambazi akifika kwa keja si Rada ni blow blow
404,mambleina wakizidi si meno tunawaletea goro
404, watajua ni 4 - 0 - 4, four zero four
Beti Ya Tatu
Magonjwa, maswara
Machuki, na uadui
Kanyaga kanyaga
Tunakata hizo waya
Lawama, kuzima
Umbleina, kukata
kukata kukata
Na pia freelancers
Utapendwa na masses
Ata kama we ni mkonde
si bado uko na masses
Wakipanga hizo chama
Mweka hazina ata disappear
kama motorola
Bottom line ni bora nimestate
Ukifika Juu usikate net
Hio password ya wifi usijechange
Tumekulia pamoja on a single plate
404, mb ziko less
But thank God sihitaji net
Nahitaji Grace, ndio nifike places
I pray kila mtu apate blessings, amen
Kiitikio
404, devil akisaka hizi nyoyo tunamwambia No No
404, jambazi akifika kwa keja si Rada ni blow blow
404,mambleina wakizidi si meno tunawaletea goro
404, watajua ni 4 - 0 - 4, four zero four