Tunavaa Machata Tu 2023 Playlist - Mwaka Huu Ni Mwanza!

Tunavaa Machata Tu (TMT) - Playlist 

Kila mwaka wana Hip Hop Tanzania hukutana kwenye tukio kubwa liitwalo Tunavaa Machata Tu (TMT) Festival, Mwaka Huu Ni Mwanza!. Mwaka huu vilivile wana Hip Hop wanakutana leo tarehe 25.11.2023 Mwanza. Karibuni muskiliza ngoma zote zilizoandaliwa spesheli kwa ajili ya tukio hili.


Tunavaa Machata Tu (TMT) - Playlist

Every year the Hip Hop family in Tanzania meet at a big event called Tunavaa Machata Tu (TMT) Festival, Mwanza Huu Mwanza!. This year as well as the Hip Hop fratenity are meeting today 25.11.2023 Mwanza. Listen to all songs prepared specially for this event.

TMT 2023 Part I - Dr.Lukuwi X Momumo X Lugombo

TMT 2023 Part 2 - Goda X Miracle X Kella B

TMT 2023 Part 3 - Machief Warwill

TMT 2023 Part 4- PAI (π)~ 3.14

TMT 2023 Part 5 - Wanaboma Feat Dax & Nikaad

TMT 2023 Part 6 - Big Dreams The Deep Battles

TMT 2023 Part 7 - Stanza Mobb

TMT 2023 Part 8 - Mfalanyombo X Experience

TMT 2023 PART 9 - Dainasti

TMT 2023 Part 10 - Opobo X KaaFeel & Gang Nas