Toka kwa: Vioxii Dede, Trabolee, Romi Swahili
Wimbo: Maandishi Kwenye Ukutu
Albam: Maktaba Ya Mtaa
Tarehe iliyo toka: June 2018
Mtayarishaji: Duboiz
Studio: Duboiz Studio

[Beti Ya Kwanza : Vioxii]

Yooh! aah! yeah! Vioxii/
Waandishi wamekubali, ila maandishi yamekataa/
Basha mitaki maandishi ya mwandishi mwenye njaa/
Chanzo cha balaa sio uwanzilishi wa sanaa/
Ni uwadilifu wana kalaya waandishi kwa hii sanaa/
Jamii inapotoshwa na waandishi wenye tamaa/
Skiza radio utashangaa/
Vipi sito-dishi na mpishi kisha dua/
Kisiki kizingiti na mziki zimebung'aa/
Maandishi ndio zile siri serikali inatuficha/
Maandishi ndio dini Bible, Koran inafundisha/
Maandishi ni sheria, kwa msingi wa katiba kuu mwanalisha mwanasiasa mahali ya uma hadharani kuiba/
Maandishi ni elimu tena maandishi ni ujinga/
Maandishi ni tiba na vile vile pia ni kinga/
Maandishi ndio ujumbe ambao maskini anakosa/
Tena maandishi ni silaha ya matajiri ndiposa/
Waandishi washakubali kihekima wamepofuka/

[Beti Ya Pili: Trabolee]

Shamba ni la wanyama wacha tulime/
Ujumbe ndio jembe msela usipime/
Time ina-fly na mimi nadai kuwa light I can't carry the luggage/
Kwa barabara ya life unaeza poteza drive, so wacha thoughts zi run maliza mileage/
Tra where you at?, am trapped between a bottle of rhyme na holy passage/
Still I wanna reach you all like a righteous killing/
So kwa hizi bars na wrestle na spirits/
Waliniambia God is love lakini kaa Jacob I still fight the feeling/
Na hitaji paint ndio ni paint graphic/
Am running sane kabla wani-chain nafsi/
Keep the pis' tucked tightly in your soul/
Niko na split psyche na nyufa zangu si zizibi juu nataka u-crack this code/
Soma hand writing on the wall
(Una maandishi kwenye ukuta*x2)

 [Beti Ya Tatu: Romi Swahili]

Tuki-recite maombi na creed is all fair kwa love na vita/
Kwa life support overseas vision yako ina-recede/
Another loss/
Kwa ma-warlord another crumble ya cookie/
Life yako ilitumika kaa fungu la kumi in the line of duty/
Kuzuia Atlantis kuzama ukabeba weight ya silaha na lawama/
Historia haina space ya ma-soldier hutumia life yao kulipia gharama/
Ambia mama, atayarishe requiem nimepata salvation kwa revolver/
Kwa hii dunia ya nuclear giants bado ni ma-ethical toddler/
Wanacheza P.R formally/
Kutumia journal za ma-journalist/
Spirit drunk on formalin/
Handshakes zikificha anomaly/
Waki-occupy na kuu conquer, kuu ongeza reaper robota/
Kwa ma-victim wa manslaughter family ziko awarded na dog tags/
Kumbuka tuki-unda fortress kutumia sticks na kokoto/
Back then, it used to be all peace na bliss tukiwa watoto/
Sahi tuna-feel pain yako, tuki-pass lighter sticks na misokoto/
Wishing unge-cheki sign maybe ungehepa hio baptism ya moto/