The Funk Brothers Trio

Jina La Kazi: The Funk Brothers Trio - Gusa Link Usome Historia Yao

Utambuzi na Kuthaminiwa kwa watayarishaji wetu wa muziki wa Hip Hop kutoka Africa Mashariki kutokana na mchango wao kwenye Utamaduni Wa Hip Hop:  January 2024 tunawashuruku The Funk Brothers Trio kwa mchango wake kwenye game la Hip Hop kama producer.

Soma wasifu wao na cheki playlist yetu ya baadhi ya kazi zao. Tunawapa cheti kuwaonesha tunathamini mchango yao kwenye Utamaduni wa Hip Hop.

Playlist Ya The Funk Brothers Trio

1. Dambwe La Hip Hop – Baraka Za Wakongwe

2. Fivara x Mantik Barz x TK Nendeze ft. Boyca – Furaha Ni Sasa

3. Dambwe la hip hop ft. Thomas YEYO-Chumvi Ya Majuto

4. The MC 255 – Idle

5. Dambwe La Hip Hop ft. Non – Jamii Kwanza

6. Dambwe La Hip Hop – Tunapotea

7. Swahili Son x De La Funk – Healing Hours

8. Dambwe La Hip Hop ft. Ryoboi – Mpaka Kifo

9. Dambwe La Hip Hop – Gravity

10. Dambwe La Hip Hop (D.L.H) – Boda Boda

Bonus Track

Negus Teqoor -X- Dawg Killah -X- Sweat Dawg - Brain Circuit