World Mental Health Day - Siku Ya Afya Ya Akili Duniani - Playlist
Tarehe 10.10.2023 ilikua Siku Ya Afya Ya Akili Duniani. Wana Hip Hop kutoka Africa Mashariki wamelichukulia hili swala kwa uzito na wanaona umuhimu wakuliongelea na ndio maana ma emcee kibao wamechana kuhusu mada hii ambayo inawagusa sio wao tu bali jamii yao ki ujumla.
Tumeorodhesha baadhi ya ngoma tunazozifahamu na zinazo angazia swala hili. Kama kuna zozote unazozifahamu tuambie ili tuweze kuziweke hapa ili yoyote yule mwenye kutaka ngoma hizi aweze kutizpata hapa. Karibuni...
World Mental Health Day - Playlist
The 10.10.2023 was World Mental Health Day. Hip Hop emcees from East Africa have taken this issue seriously and they see the importance of talking about mental health and that's they sang about this topic that affects not only them but their society as a whole.
We have listed some of the songs we are familiar with that highlight this issue. If there are any that you know of, tell us so that we can put them here so that anyone who wants these songs can find them here. Welcome...
Shilinde - Afya Ya Akili EP
Micshariki Africa & Adam Shule Kongwe - Funguka
Fivara - Stressed
Fikrah Teule ft. Nafsi Huru & Shari Afrika - Najitahidi
Fivara - Mawazo
PAI (π) ~ 3.14 ft Nuruwell - Tatizo Ni Suluhu
Fivara - Msongo Wa Mawazo
P-Tah - Listen
Jimwat - Singe
King Kaka - Ray
Drew Phoenix - Thoughts
Nash Hinga ft. Kay De Papa - Vizii
Jimwat - Hii Story
Msito, Fedoo ft. P Mawenge, Jimwat - Hakuna Network
Maovete - Tunavumilia
Shazzy B - Thoughts
Kaa La Moto ft. Fadhilee Itulya - Salama
Rojo Fojo & Dark Master - Afya Ya Akili